Nimechekaaaa!ukosefu wa ajira huu
Muda tuFutari umeshapika?
story kwenuhapa kazi tu...
kama kawa kama dawa mkuuNyiramba girl kwan bado mnaendelea humu au gemu limeisha?
kabisa mke wa mtu...story kwenu
uzi makini sna una nondo za kidunia shauri yako hapa hamna kilichoachwa adi makinikia yumo akitoa like...Huu uzi niwakizembe kabisa
Umerudi mkuuJua limezama
Fatilia Mkuu, kama unatumia Simu like Ni 5 zitakazoonekana.Kwa comp au laptop ndo zinakuwa kama zilivyo.Mi nimeona sana.Alert inasema una.likes nyingi but ukifunguaa Ni 5.Au wana Makinikia wenzangu nakosea??Jf watu wachoyo Sana wa like utazani wanalipia nimetembelea thread nying Sana ukikuta mtu analike nyingi basi ni Tano tena za kuhesabu..... Hadi nilizan kuna condition aitakiwi zizidi Tano Kumbe ni uchoyo nimejaribu kwenye thred ya the bold ikakubali.... Cheki hapa kuanzia juu kama kuna watu 3 wenye like zaid YA 5 mod nipen ban YA wiki
Heee! Uwaneni asee, yan nasafir kilometer nyingi nikirud watu mnagongeana tu likes! Mshindi had sasa ni nani?kama kawa kama dawa mkuu