Gonga likeVP waungwana
Mpaka zifike 10kMkuu wewe endelea kupigania medal.
Hata zikiisha nitakutuma supermarket ukanunue, jiandae.Unahisi zitaisha?
Thubutuuu, uishe ili iwejeJaman huu uzi c uishe Basi,
mm mojawapo nilitia nanga na like 400 sasa naangalia ziko 2000 balaa hiliWengine tokea uanzishwe huu uzi washafikisha like 1000
Abiria chunga mzigo wakoMia mia Mkuu
Sasa ni mwendo wa [emoji106]
Realy??I am genius
Sasa hivi ndio nimeanzaPumzikeni wapendwa.