Duu umejaza like za kumwaga.Eh afadhari Leo naongeza like jaman maana ilikua hadi natia aibu<br /><br />Like zangu zilikua hazifiki hata mia<br /><br />Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app .
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Anzia ulipoishiaSasa muda wa kudondosha likes baada ya futari
Wata jiji sisi likes tuAyayayayaaaa,mazee mtawafanya madogo wa makapukh wakakomenti kwa fujo kwenye uzi wao ili msiwakute kwa comments
Sasa mwatuzingua mnaotuma mang'amung'amu yasioleweke,Ukhuty tuletee orodha ya Mahanjumati nikianza na kaimati
Kumbe jirani yanguMchikichini