Kabisa...nilichungulia kidogo nikakuta rita na klynn nikarudi mbio kwenye my likesAkitumbuliwa mtu huko mtuambie,
Mimi najaza watu likse hapa
Kuna kontena la likes nizimwage?Tupe likes
Wata jiji sisi likes tu
kula like yako hio mkuuduh na mimi nipate likes
Kula like kwa kumtoa nishaiNi mtazamo wako tu mkuu.
Kuna forum nyingi pamoja category zake nyingi.
Jamiiforums inawigo mpana we chagua wapi ambapo ni pazuri kuchangia mkuu.
Sio kila mtu anaeingia humu jf kwa lengo la kuchangia mada moto moto.
Wengine wanaingia kurefresh kutokana na shughuli za hapa na pale.
Karibu tena mkuu.
nawe utoenami nimekujapo nipate likes Mweeeeh
Nna mahela hapa
Ze utamu au utamu?Kweli watu hawarembi... Ukitia tu comment wanakumwagia ma"like'.
Nimeanza kusikia raha.. Utamu.
Ukhuty unanitamanisha
Ndiyo tunaanzaHATIMAYE UZI UMEFIKA MWISHO.
Kafata nn huyoNi mtazamo wako tu mkuu.
Kuna forum nyingi pamoja category zake nyingi.
Jamiiforums inawigo mpana we chagua wapi ambapo ni pazuri kuchangia mkuu.
Sio kila mtu anaeingia humu jf kwa lengo la kuchangia mada moto moto.
Wengine wanaingia kurefresh kutokana na shughuli za hapa na pale.
Karibu tena mkuu.
Maneno mengi ya nini ebu kula likeHivi leo mchana umekula? Futari umekula?
Mambo si hayo Ukhuty,natamani cku moja shemej anialike ftari kwenu nije kuonja misosi yako[emoji4]
Nami nakugawia kula hiyoYeah mkuu nimerudi kugawa likes