Kula like mkuuKazi nzuri
sio hilo tu ndoa zinavunjika sababu ya like hazijawahi muacha mtu salamaNaona watu wakiunguza mboga
Usijali zitafika tuuLeo ningefikisha 3000
chezea like wew..Naona ndoa za watu zikiyumba
Na hivi kutwa nzima yuko bize na simu anasaka like, lazima anuniweSi mpaka awe amepikiwa
Atakula daku la maji na biskuti
Hiyo pia like yangu inakuhusukamata
Ingawaje uliyoyaandika cjsyajua ila like yangu inakuhusuAswtudsjca
AsanteHiyo pia like yangu inakuhusu
alifikiria mbali sanaashukuriwe aloanzisha huu uzi
Maeneo yapi hayoNaona watu wakipokonywa simu
Na mimi piaUsilalamike Nimekuongezea like
Kama hiviBado naweza kupata likes???
Na sijui hata kama unyumba atapewa.Na hivi kutwa nzima yuko bize na simu anasaka like, lazima anuniwe
Bado malike yapo mengi tuu (in magufuli's voice)Furahia malikes