Chukua like kwanzaWewe Dada plz kwa hatua hii uliyofikia nakuomba uzime data kama ni like umepata zakutosha
Yaani saiv unaweka hado doti . halaf unatuma???
Usiende kwanza mkuu. Nakutwanga na like kwa kazi nzuri uliyoifanyaNataka kusign out naona mmechoka like.