Karibu jirani. Karibu na kituo kipya kinacho bamba green cityAhaa,, kumbe na,ww wa huku
Makapuku wana replies karibu laki tatu. Hapa watu watachoka. Ikipita siku Ukhuty hajaposti "hxhgprtyy" hapa basi ujue kwamba moto umeanza kuzimika...Natabiri ndani ya mwezi mmoja huu uzi ndio utakao kuwa na replies nyingi zaidi kuliko makapuku
Alijua nitakuwa na vumbi walau kilo 2 za Makinikia.Yote kwa yote enjoy like yanguYeye ana nini asiwe huku?
Na kwako piaUsiku mwema
Hisia zangu ni hivyo hivyo,,,naona uzi unafifiaMakapuku wana replies karibu laki tatu. Hapa watu watachoka. Ikipita siku Ukhuty hajaposti "hxhgprtyy" hapa basi ujue kwamba moto umeanza kuzimika...
Oky thanxx mkuu,, ntakribia bt nw ngoja tule likes kwanzaKaribu jirani. Karibu na kituo kipya kinacho bamba green city
Usiku mwema
No WAYLikes mmezikinahi?
Heheee.. Kweli we Numbi. Kumbe mwepesi ivyo