Makapuku wamejipanga hamuwawezi. Wale wana mada kabisa wanajadili. Angalia waliko Makapuku...tuwazidi makapuku forum jamani
Mama we hahahahaMakapuku wamejipanga hamuwawezi. Wale wana mada kabisa wanajadili. Angalia waliko Makapuku...
KupovukaMwepesi kiaje?
Kwa nini unataka ufike mwisho?Naomba huu uzi ufike Mwisho sasa..
Hiyo ni lazimatuwazidi makapuku forum jamani
Washindwe na walegeeNimesikia mods wanataka kuufuta kwa sababu nyuzi zingine zinedorora...
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.Hata na hao makapuku walianza hivi hivi tena kasi yao ilikuwa ndogo.Makapuku wamejipanga hamuwawezi. Wale wana mada kabisa wanajadili. Angalia waliko Makapuku...
Chukuwa hiyoJaman hebu na mm nikumbuken ht kw likes 20, maana mm ni fukara wa hiz likes[emoji27]