Nimerudi mkuuWatu wamefloat
Wapigwa zako like....unasubiri daku tuMpaka ma Madame tunawalike
Siyo kupewa tu, nawe utoe piaWamesema uzi wa kupeana likes haya sasa mnipe.
mmmhhhh aahhh kweli mkuu tujitahidi lknMakapuku wamejipanga hamuwawezi. Wale wana mada kabisa wanajadili. Angalia waliko Makapuku...
Mbeya nao miaka hii wana kauli za shombo!!!
wap ilala kinondoni temeke kigamboni ama ubungo...Njoo kesho uchukuwe, mwendo wa likes hahahaha
Na iwe hivyoNatabiri ndani ya mwezi mmoja huu uzi ndio utakao kuwa na replies nyingi zaidi kuliko makapuku
Ndiko anakoelekea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Angalia usijisahau tu ukajikuta umetype tusi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc ukhutyCc ngapi?
NipCc ukhuty
Jitoe tuNaomba huu uzi ufike Mwisho sasa..