Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeliangalia ziwa victoria juz wakat nipo mwanza,,nikapiga hesabu za mbali sana na nikagundua naweza pata hela nying sana kwa kutumia lile ziwa,,na mipango inaanza kwenda vzr,,kwa siku sitakosa kuanzia laki tano mpk milioni,,,wacha kwanza nikoke kuni zikishakolea tutajuzana fursa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…