Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Unaonekana unakipaji cha kubuni ujinga!
Ila siku ukabuni ujinga kama huu then uka convert it to cash money utakuwa bonge LA billionaire kama yule Wa Facebook!
Dunian binadamu wanapenda vitu laini visivyo umiza kichwa, Fanya hivyo mkuu utajirike nimeona kpaji unacho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…