Mwezi wa
Mwaka wa
2017
Ni siku
Baraka
Ama kwel unazihitaji likesSana sana
HahahahaAma kwel unazihitaji likes
HahahahaHapa ungesema ukitoa [HASHTAG]#likes[/HASHTAG] unaongeza nguvu za kiume ndiyo ungejua kwanini bodaboda inaweza kugeuka kuwa ambulance @
Pole sana nilijua ni waleee ila majina yana shabianaView attachment 526141
Avatar yangu ni Goddess Isis jamani sio wale wahuni! Google....OSIRI, ISIS na HORUS..Egyptology
Nawe piaJumapili njema
Chukua like ya asubuhi bado ya moto kabisamambo
Wazungu wanafanya makusudi kuharibu majina yenye nguvu ya AFRICA, kama vile Mansa Musa wa Mali, Timbuktu Kabila la watu wa Bozo nkPole sana nilijua ni waleee ila majina yana shabiana
Mungu anakuonaNaingia kanisani. Ibada na kulaikisha wa vitaenda linearly. Huku naitikia Ameen huku na like
NdioIla huu ujinga kwa hiyo hata ukitukanwa una like tu!
Una maanisha nini?
Amen...Mungu anakuona
ILA ISIS WANATUMIA WAARABUWazungu wanafanya makusudi kuharibu majina yenye nguvu ya AFRICA, kama vile Mansa Musa wa Mali, Timbuktu Kabila la watu wa Bozo nk
Mimi ni Goddess Isis, please google! OSIRI,ISIS na HORUS ...Egyptology