Kijiji cha Koromije.Wasio nipa like nawafananisha na wale wanakijiji waliowachoma watafiti wakizani ni wanyonya damu
Kwa kweli ushamba hauwezi kumuacha MTU salama
Chukua likeJF waweke na kitufe cha "dislike"
Pata likeNazisubiri na mim..
That's the way I like it! Alafu mitusi kibao!nabaki na likesNyuzi nyingine mpka ufikilie cha kupost hapa anything I say again anything sisi tuta like
Usitukane basi ila kula like*****
Aaah mkuu kula hilo kabla hatujachelewaMpaka jf iandika limited
Mpaka shuzi lipate mjamvaji sio?Mpaka kieleweke
Ndipo inapolimwa Gas Tanzania, cha ajabu bado hatujaona matunda yake kwetu wananchi.Mtwara
Hii si vita ni raha na raha ya malikes tuVita ya like haijawah muacha MTU salama