Maisha yamejaa changamoto—kupoteza biashara, usaliti wa ndugu, marafiki au mapenzi, yote yanaweza kukuvunja moyo. Lakini usikate tamaa, jipanguse vumbi na songa mbele. Kila maumivu ni fursa ya kukujenga kuwa imara zaidi. Mungu akuongoze na akutunze, shujaa! Stay blessed.