myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Tafadhali zingatia na simamia matumizi yako ya fedha kwa umakini mkubwa sana. Siku hizi ni ngumu sana kupata mtu wa kukusaidia ukijikwaa na kuanguka.
Maisha ni kama MWAMBA: ni kazi yako kuyachonga kuwa kile unachotaka kuwa. Haijalishi umepokea mwamba wa aina gani, muhimu ni jinsi unavyouchonga
Ni kweliMaisha ni safari ndefu inayohitaji upendo, amani na uvumilivu. Tusiache kupambana wakati wa Mungu ukifika ndo wakati sahihi
Safari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi."
Ni kawaida kwa Binadamu hata ufanye mambo mazuri kiasi gani huwezi kupendwa na kila mtu, hata uwape mgongo wavuke mto bado watakwambia unalala vibaya
Ni kawaida kwa Binadamu hata ufanye mambo mazuri kiasi gani huwezi kupendwa na kila mtu, hata uwape mgongo wavuke mto bado watakwambia unalala vibaya
Usiogope safari ndefu, ogopa kusimama bila sababu
Kula chakula bora na kufanya mazoezi walau Nusu saa tu kila siku uepukane na magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa uzito mkubwa, kisukari na presha.
Mtu yeyote anayependa kulaumu wengine ana safari ndefu sana. Maana kulaumu wengine ni dalili ya ukosefu wa kujitegemea na kujitambua.
SawasawaMaisha ni kama MWAMBA: ni kazi yako kuyachonga kuwa kile unachotaka kuwa. Haijalishi umepokea mwamba wa aina gani, muhimu ni jinsi unavyouchonga