Kupata matunda yanayo faa kuna mchakato na pia uwe na nidhamu ya kusubiri yaive kadhalika mafanikio ni mchakato ulio beba vitu vingi ndani yake hayatokei kama mlipuko tu lazima uyawajibikie ukiruhusu tamaa ikusukume kufosi mafanikio utajikuta unafeli au una aibika