Kuna muda boti la maisha yako litapitia mitikisiko jifunze kutulia bila kupanic. Katikati ya kutulia njia huwa inapatikana au kuna muda boti tu lenyewe linachoka kuyumba yumba linatulia lenyewe

Unapoeneza uongo juu ya mwingine ni sawa na kumnyonyoa kuku huku ukitembea na kuyaacha manyoya yapeperushwe na upepo na hata ukiambiwa umsafishe kwa uongo uliousema ni ngumu kama kuyakusanya yale manyoya kwa sababu yameshasambazwa na upepo.