myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Maisha ni leo, Sio jana wala kesho. Unachokipitia na kukifanya mda huu Ndio Tafsiri Halisi ya maisha.
USIKATE TAMAA !!
Ukiangalia Sana ulipo anguka, bila kujali ni wapi uliteleza. Utaendelea kuanguka kila utakapo nyanyuka

ππUkiangalia Sana ulipo anguka, bila kujali ni wapi uliteleza. Utaendelea kuanguka kila utakapo nyanyuka
πππUkiangalia Sana ulipo anguka, bila kujali ni wapi uliteleza. Utaendelea kuanguka kila utakapo nyanyuka
Ukiangalia Sana ulipo anguka, bila kujali ni wapi uliteleza. Utaendelea kuanguka kila utakapo nyanyuka
Maisha ni leo, Sio jana wala kesho. Unachokipitia na kukifanya mda huu Ndio Tafsiri Halisi ya maisha.
USIKATE TAMAA !!
SawasawaHatakama watakidharau unachofanya, kama kwako kinakupa Faida,
USIACHE KUFANYA
Waelewe, Wasikilize, Wavumilie, ila Hakikisha Watambue Kuwa wewe Sio Mtu Dhaifu.
KUWA IMARA KWA LOLOTE LILE

Hatakama watakidharau unachofanya, kama kwako kinakupa Faida,
USIACHE KUFANYA
β οΈβ οΈβ οΈβ οΈ
Kuna vingi vizuri unatamani watu wavijue, ila viweke siri.
Kwasababu watu wana Tabia ya kuharibu vyanzo wa furaha za wengine.
SawaWakati mwingine ukitaka kuishi kwa Amani usiruhusu watu wakujue sana