myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
USIWASAHAU WATU HAWA KATIKA MAISHA YAKO
●Waliokusaidia wakati wa Shida
●Waliokuacha wakati wa Shida
●Walio sababisha Uingie katika Shida.
Kamwe Usiwasahau.
USIWASAHAU WATU HAWA KATIKA MAISHA YAKO
●Waliokusaidia wakati wa Shida
●Waliokuacha wakati wa Shida
●Walio sababisha Uingie katika Shida.
Kamwe Usiwasahau.
SawaUSIWASAHAU WATU HAWA KATIKA MAISHA YAKO
●Waliokusaidia wakati wa Shida
●Waliokuacha wakati wa Shida
●Walio sababisha Uingie katika Shida.
Kamwe Usiwasahau.
Wamemkosa wavumilie😂😂😂😂😂😂Aisee..
Nakubaliana naweUSIWASAHAU WATU HAWA KATIKA MAISHA YAKO
●Waliokusaidia wakati wa Shida
●Waliokuacha wakati wa Shida
●Walio sababisha Uingie katika Shida.
Kamwe Usiwasahau.
Maisha ni sisi...Jifunze kupenda bila masharti,
Zungumza bila nia mbaya,
Toa bila ya sababu yoyote,
Na zaidi ya yote jali watu bila ya matarajio yoyote.
MAISHA NI WATU, NA WATU NI MAISHA
Utadharauliwa na uliowaamini , Utaangushwa na uliowabeba, Yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwa ajili yao.
HII SIO MITIHANI YA MAISHA, BALI NI MAISHA YENYEWE
Unapo jitahidi kumpaka mtu matope, Kumbuka Gharama yake ni Lazima na wewe uchafuke.
Jitahidi kujenga Heshima na thamani yako
Jifunze kupenda bila masharti,
Zungumza bila nia mbaya,
Toa bila ya sababu yoyote,
Na zaidi ya yote jali watu bila ya matarajio yoyote.
MAISHA NI WATU, NA WATU NI MAISHA
Jifunze kupenda bila masharti,
Zungumza bila nia mbaya,
Toa bila ya sababu yoyote,
Na zaidi ya yote jali watu bila ya matarajio yoyote.
MAISHA NI WATU, NA WATU NI MAISHA
Utadharauliwa na uliowaamini , Utaangushwa na uliowabeba, Yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwa ajili yao.
HII SIO MITIHANI YA MAISHA, BALI NI MAISHA YENYEWE
Kama wazazi wako sio matajiri na waliweza kukupa kile ulichotaka, basi usiwasahau pindi utakapo fanikiwa
Sawasawa na hili piaMuda ulio nao hautoshi kushindana na watu wala kujibizana nao, Pambana sana maana hali uliyo nayo ni ngumu kumuelezea mtu shida zako na akakupa msaada.
Ishi ukitambua kwamba,
Wale wanao tamani uteseke baadhi yao wapo kwenye kundi la wanao kusifia
Muda ulio nao hautoshi kushindana na watu wala kujibizana nao, Pambana sana maana hali uliyo nayo ni ngumu kumuelezea mtu shida zako na akakupa msaada.
Wengi wetu hatuna furaha kwa sababu tu! kila kitu tunakichukulia Serious