myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Unapo jitahidi kumpaka mtu matope, Kumbuka Gharama yake ni Lazima na wewe uchafuke.
Jitahidi kujenga Heshima na thamani yako
Ishi ukitambua kwamba,
Wale wanao tamani uteseke baadhi yao wapo kwenye kundi la wanao kusifia
SawaSawa maisha ni magumu, Lakini haina haja ya kumuonesha kila mtu kuwa unapitia magumu Kila mtu ana magumu yake, ni vile si kila mtu analalamika
Hakikisha kwenye haya maisha kuna mtu wa kukuonea Huruma, Kuna muda mapenzi pekee hayatoshi.
Usiweke Tumaini lako kwa mwanadamu, Mwanadamu ni kiumbe kinacho badilika muda wowote .
Hakikisha kwenye haya maisha kuna mtu wa kukuonea Huruma, Kuna muda mapenzi pekee hayatoshi.
Usiweke Tumaini lako kwa mwanadamu, Mwanadamu ni kiumbe kinacho badilika muda wowote .
Ishi ukitambua kwamba,
Wale wanao tamani uteseke baadhi yao wapo kwenye kundi la wanao kusifia
Sawa kabisaHakikisha kwenye haya maisha kuna mtu wa kukuonea Huruma, Kuna muda mapenzi pekee hayatoshi.
Sawa maisha ni magumu, Lakini haina haja ya kumuonesha kila mtu kuwa unapitia magumu Kila mtu ana magumu yake, ni vile si kila mtu analalamika
Katika umri wa miaka kuanzia 16, 17, 18, 19, 20, 21 &22Sio rahisi, Utapoteza marafiki, Utafanya makosa mengi, Utaanguka, Utafeli, Ila utagundua vitu vingi na utakuwa Mwenye nguvu sana.HAKIKA HIYO NI MIAKA BORA YA MAISHA YAKO

✔️✔️✔️Mpende mtu kabla hajafanikiwa, Akifanikiwa atapendwa na wengi.
Nyumba yako ndogo ni ndoto ya wasio na makaazi, Chakula chako ni ndoto ya mtu mwenye Njaa, Afya yako ni ndoto ya mgonjwa,Usiruhusu nyakati ngumu zikufanye usahau Baraka ulizonazo
Hali ya kutaka uonekane Tajiri usipoiyacha, itaendelea kukuongezea Umaskini