myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Weapons..Weapon
NajifunzaJifunze kubakisha akiba ya maneno unapo ongea kuhusu watu au jambo fulani hasa la kulaumu ama uongo, meza hupinduka
✔️✔️Kama unaishi ili ukubalike na watu kwa kila unachofanya hakika utateseka sana duniani siku watu wakianza kukukataa
Jifunze kubakisha akiba ya maneno unapo ongea kuhusu watu au jambo fulani hasa la kulaumu ama uongo, meza hupinduka
✔️✔️Kama unaishi ili ukubalike na watu kwa kila unachofanya hakika utateseka sana duniani siku watu wakianza kukukataa
📌📌One more day
Sawa
Una uwezo wa kipekee wa kupata kila unachokitaka endapo utaamua kukifanyia kazi kwa imani..
SahihiKama unaishi ili ukubalike na watu kwa kila unachofanya hakika utateseka sana duniani siku watu wakianza kukukataa
SahihiKama unaishi ili ukubalike na watu kwa kila unachofanya hakika utateseka sana duniani siku watu wakianza kukukataa
Kinachokupa furaha ndicho kinachoweza kukuumiza hakuna mwenye huzuni milele kuna wakati utapitia changamoto za maisha Na kuna wakati unakua upo sawa kimaisha Mtangulize Mungu
Hatua ya kwanza ya kufika popote unapopataka ni kuamua kuwa haupo tayari kubaki hapo ulipo leo.