myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Maisha ni kujaribu popote,Ukiona kwenu
hapaeleweki nenda ugenini, huko utapambana bila kuona aibu
Ukiwaza fursa utaziona zimajaa kila ugeukapo.
✔️✔️Usibweteke, maisha hukulipa kupitia changamoto na mchango wako kwa wale unaowazunguka.Pambana tu.
Usibweteke, maisha hukulipa kupitia changamoto na mchango wako kwa wale unaowazunguka.Pambana tu.
📌📌Usibweteke, maisha hukulipa kupitia changamoto na mchango wako kwa wale unaowazunguka.Pambana tu.
Ujasiri haujengwi kwa maisha rahisi
📌📌Ujasiri haujengwi kwa maisha rahisi
SawaHekima haiishi kwenye ndimi za wakimbiao migogoro
Asiyekubali kukosolewa hawezi kuwa kiongozi.
Asiye na hekima wala busara hawezi kuwa kiongozi.
👍👍Asiyekubali kukosolewa hawezi kuwa kiongozi.
Jenga ngome, linda fikra zako kwa wivu mkubwa.Hakuna wa anayekuharibu bila ruhusa yako
Chagua wa kuambatana naye, kwani hukutawala.Hulka zao, udhaifu wao, na maisha yao, huwa yako.
Chagua wa kuambatana naye, kwani hukutawala.Hulka zao, udhaifu wao, na maisha yao, huwa yako.
Jenga ngome, linda fikra zako kwa wivu mkubwa.Hakuna wa anayekuharibu bila ruhusa yako