myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Jenga mazingira ili uvutie vitu kwako, siyo kufukuzia na kuvilazimisha.
SawaFuraha huja unapoacha kuitafuta.
Kweli..Kila kitu hukaa sawa pale unapoacha kulazimisha mambo.
NAKUBALIKila kitu hukaa sawa pale unapoacha kulazimisha mambo.
SawaMaisha huwa ya furaha unapoacha kupuyanga.