myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ukomavu wa akili ni pamoja na kuelewa kuwa cha kuomba sio chako na kuridhika na matokeo yoyote ya kupewa au kunyimwa.
Ukipata kinachokupa furaha Utulivu wa akili na amani ya moyo Hakikisha haurudi kwa kile kilichovuruga Amani yako hapo awali
Ukipata kinachokupa furaha Utulivu wa akili na amani ya moyo Hakikisha haurudi kwa kile kilichovuruga Amani yako hapo awali
✅️✅️Mazoezi ni mlinzi wa afya njema na akili tulivu. Mwili unapokuwa imara, mawazo pia huwa na utulivu.
📌📌Exercise is the guardian of good health and a calm mind. When the body is strong, the mind finds peace too
✔️✔️Exercise is the guardian of good health and a calm mind. When the body is strong, the mind finds peace too
Nguvu ya mwanadamu haipo katika misuli pekee, bali ipo katika utulivu wa akili na uthabiti wa moyo
Hahahaaaa. Aseee. Natabiri hizi likes zije hapa!Aiiiiii....Jamani we kakaaaaa...Mmmmh....Hata sijui nisemeje yani.....Nimekaona kalike kangu mwenyewe, kazuriiii
Nguvu ya mwanadamu haipo katika misuli pekee, bali ipo katika utulivu wa akili na uthabiti wa moyo
Mahusiano yanahitaji zaidi utulivu wa akili
Kuliko utulivu wa moyo
Kinga ya mwilini