myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Fungua fikra zako ili upate maarifa mapya kutoka kwa watu wa kila rika na nafasi. Elimu yako inapaswa kuwa daraja la kukuza, si kigezo cha majivuno. Tambua kuwa kila mtu ana kitu cha kukufundisha, hata wale wasio na elimu rasmi. Usidharau hekima ya maisha kutoka kwa watu wengine.
Weka Akiba na Wekeza Mapema
Tabia ya kuweka akiba inapaswa kuanza mapema. Hata kama kipato ni kidogo, jipangie kiasi kidogo cha kuokoa kila mwezi. Akiba inakupa uhuru wa kifedha na maandalizi mazuri wakati wa dharura.
Kanuni kama uadilifu, ukweli, na uwajibikaji ni msingi wa mafanikio. Ukiwa na kanuni thabiti, utaweza kuchagua njia bora hata unapokutana na vishawishi vya dunia.
✔️✔️Kila siku ni nafasi mpya ya kutimiza malengo lako. Kama wanavyosema "mbuyu ulianza kama mchicha", pia safari yako ya mafanikio huanza taratibu kabla ya kuchanua na kuleta matokeo makubwa. Leo ni siku nyingine tena ya kuanza na kuendeleza mapambano na kufanikisha ndoto zako.
👍👍Kila siku ni nafasi mpya ya kutimiza malengo lako. Kama wanavyosema "mbuyu ulianza kama mchicha", pia safari yako ya mafanikio huanza taratibu kabla ya kuchanua na kuleta matokeo makubwa. Leo ni siku nyingine tena ya kuanza na kuendeleza mapambano na kufanikisha ndoto zako.
Kila siku ni nafasi mpya ya kutimiza malengo lako. Kama wanavyosema "mbuyu ulianza kama mchicha", pia safari yako ya mafanikio huanza taratibu kabla ya kuchanua na kuleta matokeo makubwa. Leo ni siku nyingine tena ya kuanza na kuendeleza mapambano na kufanikisha ndoto zako.
Ujumbe huu muhimu sanaUpweke hutokana na kusahau kuwa Muumba wako yu karibu nawe kila wakati, Akikusikiliza, Akikuona, na Kukutegemeza. Ni rafiki wa kweli, mfariji wa moyo, na mwanga wa safari yako hata katika giza kuu. Ukimkumbuka na kumkaribisha katika maisha yako, utajua kuwa hauko peke yako kamwe.
KweliTabia mbaya hubomoa hata mahusiano, kwani sifa ya mtu haijengwi na maneno yake, bali na matendo yake
📌📌Upweke hutokana na kusahau kuwa Muumba wako yu karibu nawe kila wakati, Akikusikiliza, Akikuona, na Kukutegemeza. Ni rafiki wa kweli, mfariji wa moyo, na mwanga wa safari yako hata katika giza kuu. Ukimkumbuka na kumkaribisha katika maisha yako, utajua kuwa hauko peke yako kamwe.
👍👍👍Tabia mbaya hubomoa hata mahusiano, kwani sifa ya mtu haijengwi na maneno yake, bali na matendo yake
📌📌📌Kwenye vita ya kiburi, mwenye unyenyekevu ndiye mshindi.
✅️✅️✅️Upweke hutokana na kusahau kuwa Muumba wako yu karibu nawe kila wakati, Akikusikiliza, Akikuona, na Kukutegemeza. Ni rafiki wa kweli, mfariji wa moyo, na mwanga wa safari yako hata katika giza kuu. Ukimkumbuka na kumkaribisha katika maisha yako, utajua kuwa hauko peke yako kamwe.
✔️✔️✔️Upweke hutokana na kusahau kuwa Muumba wako yu karibu nawe kila wakati, Akikusikiliza, Akikuona, na Kukutegemeza. Ni rafiki wa kweli, mfariji wa moyo, na mwanga wa safari yako hata katika giza kuu. Ukimkumbuka na kumkaribisha katika maisha yako, utajua kuwa hauko peke yako kamwe.
👍✔️Kila siku ni nafasi mpya ya kutimiza malengo lako. Kama wanavyosema "mbuyu ulianza kama mchicha", pia safari yako ya mafanikio huanza taratibu kabla ya kuchanua na kuleta matokeo makubwa. Leo ni siku nyingine tena ya kuanza na kuendeleza mapambano na kufanikisha ndoto zako.
Kila mtu yuko kwenye hatua tofauti maishani.
Kila mtu ana malengo yake.
Kila mtu ana safari tofauti.
Kila mtu anatumia njia tofauti kufika safari yake.
Kila mtu ana karama tofauti.
Kila mtu ana upekee wake.
Hatufanani. Tumia utofauti wako kama kigezo. Jiamini, utafika!
Kila mtu yuko kwenye hatua tofauti maishani.
Kila mtu ana malengo yake.
Kila mtu ana safari tofauti.
Kila mtu anatumia njia tofauti kufika safari yake.
Kila mtu ana karama tofauti.
Kila mtu ana upekee wake.
Hatufanani. Tumia utofauti wako kama kigezo. Jiamini, utafika!
Kila uchao, ukipanga mipango na kutimiza uwezo wako unakua. Ukifanya mara nyingi utajiamini na kuwa jasiri zaidi. Unachofanya hakiwi rahisi bali wewe unakuwa bora zaidi, maana utafanya kwa maarifa bila kutumia nguvu nyingi.
Vilevile, ukizoea kutotimiza malengo, utazoea kufeli!
Ni kawaida kusaka sababu za kufeli na kushindwa nje ya nafsi yako. Lakini, vizuizi pekee, kwa kila jambo, ni fikra na mtazamo wako. Vingine vyote ni visingizio.
Ni kawaida kusaka sababu za kufeli na kushindwa nje ya nafsi yako. Lakini, vizuizi pekee, kwa kila jambo, ni fikra na mtazamo wako. Vingine vyote ni visingizio.
Kila uchao, ukipanga mipango na kutimiza uwezo wako unakua. Ukifanya mara nyingi utajiamini na kuwa jasiri zaidi. Unachofanya hakiwi rahisi bali wewe unakuwa bora zaidi, maana utafanya kwa maarifa bila kutumia nguvu nyingi.
Vilevile, ukizoea kutotimiza malengo, utazoea kufeli!