myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ni kawaida kusaka sababu za kufeli na kushindwa nje ya nafsi yako. Lakini, vizuizi pekee, kwa kila jambo, ni fikra na mtazamo wako. Vingine vyote ni visingizio.
Jitambue. Imarisha fikra zako, kuwa imara na jenga uwezo kusimamia kile unachoamini, hata kama kila mtu atakipinga.
Kila mtu yuko kwenye hatua tofauti maishani.
Kila mtu ana malengo yake.
Kila mtu ana safari tofauti.
Kila mtu anatumia njia tofauti kufika safari yake.
Kila mtu ana karama tofauti.
Kila mtu ana upekee wake.
Hatufanani. Tumia utofauti wako kama kigezo. Jiamini, utafika!
Elimu bora na sahihi hufungua akili, siyo kuifunga. Epuka fikra kwamba kupata vyeti pekee ni mafanikio; badala yake, tumia elimu kama zana ya kupata maisha unayotaka. Kisha, tumia maarifa yako kuongeza thamani yako kwa jamii, na epuka kuridhika na kubweteka na kile unachokijua.
Ni sahihi hiliKila mtu yuko kwenye hatua tofauti maishani.
Kila mtu ana malengo yake.
Kila mtu ana safari tofauti.
Kila mtu anatumia njia tofauti kufika safari yake.
Kila mtu ana karama tofauti.
Kila mtu ana upekee wake.
Hatufanani. Tumia utofauti wako kama kigezo. Jiamini, utafika!
Wekeza Kwenye Elimu
Elimu ni chombo chako cha kufanikisha ndoto zako. Hata hivyo, elimu haimaliziki darasani. Vyeti ni mwanzo tu wa safari. Endelea kujifunza — soma vitabu, shirikiana na watu wenye maarifa, na jiendeleze kitaaluma.

Ukiwa na malengo, kila siku ni ishara ya ushindi.
Ukiwa na malengo, kila siku huleta faraja.
Ukiwa na malengo, kila siku hujaa baraka.
Ukiwa na malengo, kila siku hubeba maana.
Ukiwa na malengo, kila siku huleta matumaini.
Ukiwa na malengo, kila siku hubeba maono kwa ndoto zako.
Sahihi katika hiliUkiwa na malengo, kila siku ni ishara ya ushindi.
Ukiwa na malengo, kila siku huleta faraja.
Ukiwa na malengo, kila siku hujaa baraka.
Ukiwa na malengo, kila siku hubeba maana.
Ukiwa na malengo, kila siku huleta matumaini.
Ukiwa na malengo, kila siku hubeba maono kwa ndoto zako.
With goals, every day is filled with victory.
With goals, every day brings comfort.
With goals, every day is a blessing.
With goals, every day carries meaning.
With goals, every day brings hope.
With goals, every day carries a vision for your dreams.
Have goals,
With goals, every day is filled with victory.
With goals, every day brings comfort.
With goals, every day is a blessing.
With goals, every day carries meaning.
With goals, every day brings hope.
With goals, every day carries a vision for your dreams.
Have goals,
Wekeza Kwenye Elimu
Elimu ni chombo chako cha kufanikisha ndoto zako. Hata hivyo, elimu haimaliziki darasani. Vyeti ni mwanzo tu wa safari. Endelea kujifunza — soma vitabu, shirikiana na watu wenye maarifa, na jiendeleze kitaaluma.
Elimu bora na sahihi hufungua akili, siyo kuifunga. Epuka fikra kwamba kupata vyeti pekee ni mafanikio; badala yake, tumia elimu kama zana ya kupata maisha unayotaka. Kisha, tumia maarifa yako kuongeza thamani yako kwa jamii, na epuka kuridhika na kubweteka na kile unachokijua.
Ujumbe wa wiki huuElimu bora na sahihi hufungua akili, siyo kuifunga. Epuka fikra kwamba kupata vyeti pekee ni mafanikio; badala yake, tumia elimu kama zana ya kupata maisha unayotaka. Kisha, tumia maarifa yako kuongeza thamani yako kwa jamii, na epuka kuridhika na kubweteka na kile unachokijua.
Muda ni pesa..Muda wako ndio rasilimali pekee inayopungua kila kukicha. Tumia vyema kila dakika, fanya vitu vinavyokujenga, vinavyokupeleka mbele. Vinavyokupa amani, vinavyokupa nguvu ya kuamka kila siku na kusema leo pia ni siku nyingine kubadilisha maisha yangu.