Sali, omba sana Mungu Kila wakati Kila mahali upatapo nafasi. Kwa maana hapo mtaani kwako, kazini kwako shuleni kwako Kuna watu kila siku wanakuwinda uingie kwenye 18 zao.
Hujawakosea kitu ila uwepo wako kwenye hii Dunia, mafanikio Yako, furaha yako na juhudi zako nichukizo kwao