myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Muda mwingine juhudi huwa haiwezi kukufikisha kwenye mafanikio bali bahati, hivyo jitahdi kumuomba Mola akujalie bahati katika maisha yako lakini usiache kuwa na juhudi katika hustle zako"

Kesho yako inaahidi kuwa ya nuru ikiwa leo utaweka imani yako kwa Mungu na juhudi zako kwa bidii."
SawaNi Faida zaidi kukubali kuwa sio kila Mtu atakupenda, kuliko kujichosha mwenyewe kujaribu kuwashinda wale ambao hawatathamini Juhudi zako
ππSali, omba sana Mungu Kila wakati Kila mahali upatapo nafasi. Kwa maana hapo mtaani kwako, kazini kwako shuleni kwako Kuna watu kila siku wanakuwinda uingie kwenye 18 zao.
Hujawakosea kitu ila uwepo wako kwenye hii Dunia, mafanikio Yako, furaha yako na juhudi zako nichukizo kwao
β οΈβ οΈNi Faida zaidi kukubali kuwa sio kila Mtu atakupenda, kuliko kujichosha mwenyewe kujaribu kuwashinda wale ambao hawatathamini Juhudi zako
Sali, omba sana Mungu Kila wakati Kila mahali upatapo nafasi. Kwa maana hapo mtaani kwako, kazini kwako shuleni kwako Kuna watu kila siku wanakuwinda uingie kwenye 18 zao.
Hujawakosea kitu ila uwepo wako kwenye hii Dunia, mafanikio Yako, furaha yako na juhudi zako nichukizo kwao
Sali, omba sana Mungu Kila wakati Kila mahali upatapo nafasi. Kwa maana hapo mtaani kwako, kazini kwako shuleni kwako Kuna watu kila siku wanakuwinda uingie kwenye 18 zao.
Hujawakosea kitu ila uwepo wako kwenye hii Dunia, mafanikio Yako, furaha yako na juhudi zako nichukizo kwao
Mafanikio yako na mchakato wako viwe siri yako. Watu Wengi wanatamani kukuona ukiwa na mafanikio, lakini sio makubwa kuliko wao. Ukiwapita mara nyingi watatafuta njia ya kukushusha. Linda juhudi zako na endelea kupiga hatua kimya kimya.

Saw aMafanikio yako na mchakato wako viwe siri yako. Watu Wengi wanatamani kukuona ukiwa na mafanikio, lakini sio makubwa kuliko wao. Ukiwapita mara nyingi watatafuta njia ya kukushusha. Linda juhudi zako na endelea kupiga hatua kimya kimya.
KweliOgopa sana rafiki ambaye anakutia moyo kwenye juhudi zako lakini hakupongezi siku ya ushindi wako, wengi wafurahio kwenye kushindwa kwako
Usi sahau kuna wakati juhudi zako hazita onekana, na hata wale watakao ziona hawata zithamini pia. Hii isi kukatishe tamaa. Endelea kupambana.

Kutunza muda wako vizuri ni sanaa. Jifunze kupuuza mambo yasiyo na msingi katika maisha yako. Kipaumbele ni kuweka juhudi zako kwenye mambo yenye thamani na yanayokupeleka mbele
Maisha ni kama mti: mizizi ni juhudi zako, shina ni uvumilivu wako, na matunda ni matokeo ya kile unachoweka. Panda mema, vumilia changamoto, na utaishi kufurahia mavuno yako."