myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Jikubali jinsi ulivyo kiumbo,kisura,na kimwonekano kwa sababu ni uumbaji wa Mungu lakini usijikubali kihali na kitabia zisizokubalika ambazo una uwezo wa kuzibadili.
Kidogo unachofanya leo, kesho kinaweza kuwa jambo kubwa.
Hivyo usichoke kupambana hata kama unaona hatua zako ni ndogo

Maturity is to know different between patience and wastage of time
Kama hujui msaada wako utaletwa na nani kesho, basi muheshimu sana yule unayekutana naye leo.
Maturity is to know different between patience and wastage of time
Ukubwa ni kujua tofauti kati ya subira na kupoteza wakati
Ukubwa ni kujua tofauti kati ya subira na kupoteza wakati
Kidogo unachofanya leo, kesho kinaweza kuwa jambo kubwa.
Hivyo usichoke kupambana hata kama unaona hatua zako ni ndogo
Vitu unavyotakiwa ujue kwenye maisha yako.
1. Huwezi kupendwa na kila mtu hata uwe mwema kiasi gani?.
ππKufikiria kuwa huwezi kufanya jambo fulani huko ni Kujidharau