myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
KweliHakuna atakae thamini maisha yako bila juhudi zako binafsi
Ni juhudi zako pekee zinazo weza kukusogeza karibu na bahati yako.
Kuna hii Tabia ya mtu kukufanya ujisikie Duni kwa kuwa tu Historia yako ya maisha haikunyooka kama zao, pigania kile unachokiamini kama hujapata mafanikio sasa ila una imani na Juhudi zako basi usikate Tamaa

✅️✅️Kuna hii Tabia ya mtu kukufanya ujisikie Duni kwa kuwa tu Historia yako ya maisha haikunyooka kama zao, pigania kile unachokiamini kama hujapata mafanikio sasa ila una imani na Juhudi zako basi usikate Tamaa
Hakuna atakae thamini maisha yako bila juhudi zako binafsi
Ukweli wa maisha Mwisho wa siku, ni wewe na juhudi zako. Jikubali, jitie moyo, na songa mbele....
Pamoja na juhudi zako kwenye kutafa maisha sisahau ya kuwa ni Mungu pekee ndiye anaye ruhusu mabadiliko yaku pate. Hivyo usi msahau kwenye mahangaiko yako.
Pamoja na juhudi zako kwenye kutafa maisha sisahau ya kuwa ni Mungu pekee ndiye anaye ruhusu mabadiliko yaku pate. Hivyo usi msahau kwenye mahangaiko yako.
Bora kufa ukipambana kwa juhudi zote kuziendea ndoto zako, kuliko kufa ukiwa umekaa kwa kuogopa, au ukiwa umekata tamaa.
SawaKidogo kidogo, juhudi zako zitaleta matokeo, hata kama huoni mafanikio kwa haraka
SawasawaJuhudi zako si bure, utapanda kwa machozi , utavuna kwa kelele za furaha
✅️✅️Juhudi zako si bure, utapanda kwa machozi , utavuna kwa kelele za furaha
✔️✔️✔️Juhudi zako si bure, utapanda kwa machozi , utavuna kwa kelele za furaha
Mafanikio yako yapo katika juhudi zako. Chapakazi ufungue milango ya mafanikio yako
Kuna watu Watakuja Kwenye Maisha yako...
Na Kukufundisha jinsi ya kuishi Peke yako...
NakubalianaKuna watu Watakuja Kwenye Maisha yako...
Na Kukufundisha jinsi ya kuishi Peke yako...
Nakubaliana na weweKuna watu Watakuja Kwenye Maisha yako...
Na Kukufundisha jinsi ya kuishi Peke yako...
Kiburi sio uungwana kwa kweliPunguza Kiburi Na Kejeli Watu Wanaweza Kuishi Na Kuwa Na Furaha Bila Wewe Na Maisha Yakaenda Sawa Kabisa.