Kuna Muda Ili Tufanikiwe Ni Lazima Tuache Kufanya Vitu Ambavyo Hata Tusipofanya Hatuwezi Kufa. Wengi Wetu Kinachotufanya Tusifanikiwe Angalau Kidogo Ni Kufanya Vitu Ambavyo Havina Ulazima Wa Kuvifanya Pindi Tukiwa Na Kipato Ambacho Awali Mipango Haikua Kufanya Tunayoyafanya.