myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mwenye Akili anajua ni Muda gani Wakujifanya Mjinga, Lakini Mjinga Hajui ni Muda gani wa kutumia Akili.
👍👍Kuwaza kuwa watu hawakupendi na wana wivu na wewe nalo ni tatizo pia kwa upande wako.
Kuwaza kuwa watu hawakupendi na wana wivu na wewe nalo ni tatizo pia kwa upande wako.
✅️✅️✅️Kwa Nje Maisha ya Watu ni Mazuri
Sana, ila Ukiyajua Kiundani Utaridhika na
Maisha Yako
📌📌Mwenye kukinai Hababaishwi na Chochote na Huridhika na Alichojaaliwa.
Kwa Nje Maisha ya Watu ni Mazuri
Sana, ila Ukiyajua Kiundani Utaridhika na
Maisha Yako
Tamaa ya Pesa isikufanye
Ukapoteza utu wako.
Maisha ni kama picha, inahitaji mabadiliko ili kuonekana vizuri.
HAKUNA MWENYE AHADI YA UHAI',
Ishi leo kabla ya kesho, ila usiache kuipambania kesho ili usijute kwa
kutoweka Akiba yake
Muda ulionao ni mchache Sana na unayo nafasi ya kuweza kufikia ndoto zako Cha muhimu ni kuzileta tu katika uhalisia
HAKUNA MWENYE AHADI YA UHAI',
Ishi leo kabla ya kesho, ila usiache kuipambania kesho ili usijute kwa
kutoweka Akiba yake
✔️✔️Hata kwenye Kutafuta mafanikio Ili matokeo mazurii yatimie kwako ni inategemea na jinsi unavopambana
Penda sana kuwa na furaha na uyathamini maisha yako, kwa kuwa ipo siku utatamani ungalikuwa na muda zaidi lakini utakuwa ushachelewa.
Subira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.
Penda sana kuwa na furaha na uyathamini maisha yako, kwa kuwa ipo siku utatamani ungalikuwa na muda zaidi lakini utakuwa ushachelewa.
Unapoukosa msaada usiwe mtu wa kulalamika, Bali inakubidi uongeze juhudi ya kupambana kutafuta Vyako
Usilazimishe kuwa mzuri, bali jitahidi kuwa mkweli, kwani kwenye ukweli kuna uzuri wa kutosha ndani yake.
👍👍👍Unapoukosa msaada usiwe mtu wa kulalamika, Bali inakubidi uongeze juhudi ya kupambana kutafuta Vyako
📌📌Kuna Muda kujifanya una Furaha ni jambo jepesi zaidi kuliko kuwaelezea Watu Huzuni Yako.