myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Pesa yoyote unayoitumia kwenye kupata maarifa, kula vizuri na kuvaa vizuri.Pesa ya hivyo kamwe haipotei
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
Ujumbe kwa watu woteKila siku ni fursa mpya ya kupiga hatua mbele. Usilale usingizi wa maskini, amka upambane kama tajiri. Waliotangulia walilia, walivunjika moyo, lakini hawakukata tamaa. Na wewe amka twende, kaza buti, kesho yako nzuri inategemea bidii yako leo
Kila siku ni fursa mpya ya kupiga hatua mbele. Usilale usingizi wa maskini, amka upambane kama tajiri. Waliotangulia walilia, walivunjika moyo, lakini hawakukata tamaa. Na wewe amka twende, kaza buti, kesho yako nzuri inategemea bidii yako leo
Njia nzuri ya kutatua tatizo ni kuangalia nini kifanyike ili kupiga hatua nzuri siyo kutoa lawama.Siku zote penye migogoro hapana maendeleo zaidi ya kuzungukana na kuharibiana malengo.
Maisha ni safari ya kujifunza. Kila hatua, iwe nzuri au mbaya, ina maana. Hata giza linapokuja, mwanga wa matumaini ni daima
✅️✅️Kila mmoja ashinde kwa juhudi na moyo mkuu!"Mungu awape nguvu na fanaka katika kila jambo mnalolifanya. "Hakuna kisichowezekana kwa mwenye kujitahidi. Endeleeni kupambana,. "Wapambanaji, kila hatua yenu ni ushindi. Endeleeni mbele,
Njia nzuri ya kutatua tatizo ni kuangalia nini kifanyike ili kupiga hatua nzuri siyo kutoa lawama.Siku zote penye migogoro hapana maendeleo zaidi ya kuzungukana na kuharibiana malengo.
Changamoto kama utazipata mapema katika kazi , maisha au fani basi hizo muhimu sana kukutokea.
Zinakua kama zawadi.
Zinakujenga zinakuimarisha zinakukuza.
Baaadae unakuja kugundua zilikua ni hatua muhimu sana kwa maisha.
Kuna wakati utajisikia PRESHA ya kuonesha watu MAENDELEO yanayotokea kwenye maisha yako kabla HAYAJAKAMILIKA. Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuthibitisha kuwa unapiga hatua, ila inaweza pia kuwa ni njia ya kualika VIPINGAMIZI na MASHAMBULIZI ambayo HAUKO TAYARI kuyakabili.

KweliUSIWEKE jicho na akili yako kwenye maumivu. Jikite kwenye ULICHOJIFUNZA na HEKIMA uliyoipata.Maumivu uliyoyapitia TAYARI, huwezi kuyafuta ila......unaweza KUFAIDIKA nayo kwa KUCHUKUA MASOMO uliyoyapata
SawasawaUSIWEKE jicho na akili yako kwenye maumivu. Jikite kwenye ULICHOJIFUNZA na HEKIMA uliyoipata.Maumivu uliyoyapitia TAYARI, huwezi kuyafuta ila......unaweza KUFAIDIKA nayo kwa KUCHUKUA MASOMO uliyoyapata
Kuna wakati utajisikia PRESHA ya kuonesha watu MAENDELEO yanayotokea kwenye maisha yako kabla HAYAJAKAMILIKA. Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuthibitisha kuwa unapiga hatua, ila inaweza pia kuwa ni njia ya kualika VIPINGAMIZI na MASHAMBULIZI ambayo HAUKO TAYARI kuyakabili.
AiseeKila mmoja ashinde kwa juhudi na moyo mkuu!"Mungu awape nguvu na fanaka katika kila jambo mnalolifanya. "Hakuna kisichowezekana kwa mwenye kujitahidi. Endeleeni kupambana,. "Wapambanaji, kila hatua yenu ni ushindi. Endeleeni mbele,
AiseeChangamoto kama utazipata mapema katika kazi , maisha au fani basi hizo muhimu sana kukutokea.
Zinakua kama zawadi.
Zinakujenga zinakuimarisha zinakukuza.
Baaadae unakuja kugundua zilikua ni hatua muhimu sana kwa maisha.
AiseeKila mmoja ashinde kwa juhudi na moyo mkuu!"Mungu awape nguvu na fanaka katika kila jambo mnalolifanya. "Hakuna kisichowezekana kwa mwenye kujitahidi. Endeleeni kupambana,. "Wapambanaji, kila hatua yenu ni ushindi. Endeleeni mbele,
Kila mmoja ashinde kwa juhudi na moyo mkuu!"Mungu awape nguvu na fanaka katika kila jambo mnalolifanya. "Hakuna kisichowezekana kwa mwenye kujitahidi. Endeleeni kupambana,. "Wapambanaji, kila hatua yenu ni ushindi. Endeleeni mbele,

✔️✔️Don’t Focus on Your Pain, Focus on The Reward
Yaani, kila mtu kuna MAUMIVU huwa anayapitia kutokana na CHANGAMOTO za maisha.