myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Don’t Focus on Your Pain, Focus on The Reward
Yaani, kila mtu kuna MAUMIVU huwa anayapitia kutokana na CHANGAMOTO za maisha.
Don’t Focus on Your Pain, Focus on The Reward
Yaani, kila mtu kuna MAUMIVU huwa anayapitia kutokana na CHANGAMOTO za maisha.
Changamoto kama utazipata mapema katika kazi , maisha au fani basi hizo muhimu sana kukutokea.
Zinakua kama zawadi.
Zinakujenga zinakuimarisha zinakukuza.
Baaadae unakuja kugundua zilikua ni hatua muhimu sana kwa maisha.
USIWEKE jicho na akili yako kwenye maumivu. Jikite kwenye ULICHOJIFUNZA na HEKIMA uliyoipata.Maumivu uliyoyapitia TAYARI, huwezi kuyafuta ila......unaweza KUFAIDIKA nayo kwa KUCHUKUA MASOMO uliyoyapata
MuhimuHamna kitu kizuri kama ukiaa sehemu watu wakaongelea wema wa mtu wako wa karibu na siyo madhaifu yake. Hakuna binadamu aliye mkamilifu ila tujenge tabia ya kuongelea watu vyema hususani wale ambao wamekua watu wema kwenye maisha yetu.