myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
KUPAMBANADunia ni uwanja mpana wa MAFUNZO na MAJIBU....ujanani MAPAMBANO na uzeeni LAWAMA
MUHIMUMaisha Ni mapambano na dunia Ni uwanja wa Vita, pambana mpaka tone la mwisho la Damu, kupata mafanikio sio Lele mama Ni Lele Baba
👍👍Dunia ni uwanja mpana wa MAFUNZO na MAJIBU....ujanani MAPAMBANO na uzeeni LAWAMA
MAFUNZO..Dunia ni uwanja mpana wa MAFUNZO na MAJIBU....ujanani MAPAMBANO na uzeeni LAWAMA
FURAHAFuraha ya kweli inapoundwa na wema.
Furaha sio tu kuridhika kwa maisha yako yenye maana na yenye tija bali pia na maendeleo ya jamii
✅️✅️Hakikisha una furaha ya kweli kwenye maisha yako halisi, sio kwenye maisha ya mitandaoni tu.” - Jonathan Haidt
📌📌Wakati mwingine unahitaji uvumilivu ili upate furaha ya kweli,
Haitakuja haraka na haitakuja kuwa rahisi, lakini Ukiipata itakufaa sana
✅️✅️✅️Hakikisha una furaha ya kweli kwenye maisha yako halisi, sio kwenye maisha ya mitandaoni tu.” - Jonathan Haidt
✔️✔️Furaha ya kweli inapoundwa na wema.
Furaha sio tu kuridhika kwa maisha yako yenye maana na yenye tija bali pia na maendeleo ya jamii
✅️✅️✅️Furaha ya kweli inatokana na kufanya unachokipenda." ~ Marc Anthony
📌📌📌Wakati mwingine unahitaji uvumilivu ili upate furaha ya kweli,
Haitakuja haraka na haitakuja kuwa rahisi, lakini Ukiipata itakufaa sana
✅️✅️Furaha ya kweli inatokana na kufanya unachokipenda." ~ Marc Anthony
✔️📌📌Furaha ya kweli inatokana na kufanya unachokipenda." ~ Marc Anthony
NAKUBALIUkitaka furaha ya kweli, jifunze kusema HAPANA kwa mambo yasiyo na thamani kwako.
NakubaliMkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo
SawaMkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo
SawasawaMkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo
Uko sawaUkitaka furaha ya kweli, jifunze kusema HAPANA kwa mambo yasiyo na thamani kwako.
✅️✅️FURAHA Ya kweli Katika Maisha Hupatikana Pale Tu.. Unapoacha Kujilinganisha Na Wengine Na Kuthamini Baraka Ulizopewa Na MUNGU
📌📌📌FURAHA Ya kweli Katika Maisha Hupatikana Pale Tu.. Unapoacha Kujilinganisha Na Wengine Na Kuthamini Baraka Ulizopewa Na MUNGU