myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️✅️Tujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia
✔️✔️✔️Tujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia
SawasawaHaijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu
KusameheTujifunze kusamehe ni ngumu lakini inabidi usamehe tuwape nafasi ya pili wanaotukosea, Wanadamu tumejaa madhaifu, Makosa madogo madogo yasikwamishe njiani furaha yenu Dunia
👍👍Maisha ni siku 2, Moja kwa ajili yako na nyingine dhidi yako.Hivyo ikitokea kuwa siku ni kwa ajili yako,jiepushe na kiburi na majivuno; na ikiwa ni dhidi yako basi kuwa mwenye subira na uvumilivu,kwani hakika siku zote hizo 2 ni mtihani juu yako
✅️✅️Haijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu
📌📌Isikuumize siku yako na wewe itafika utafurahia zaidi yao,Usiwe na wivu kutesa na kuteseka ni kwa zamu
✅️✅️✅️Usiendelee kung'ang'ana na hali zinazokuumiza na huoni dalili ya mabadiliko.Amua kukubali kuwa jambo hilo limeshindikana kisha endelee mbele.Huenda ni mahusiano yamefika mwisho kubali na anza safari mpya ya maisha, Pengine ni biashara ilikupa hasara kubali na anza upya
✔️✔️✔️Isikuumize siku yako na wewe itafika utafurahia zaidi yao,Usiwe na wivu kutesa na kuteseka ni kwa zamu
NakubaliUsiendelee kung'ang'ana na hali zinazokuumiza na huoni dalili ya mabadiliko.Amua kukubali kuwa jambo hilo limeshindikana kisha endelee mbele.Huenda ni mahusiano yamefika mwisho kubali na anza safari mpya ya maisha, Pengine ni biashara ilikupa hasara kubali na anza upya
Sawa piaUsiendelee kung'ang'ana na hali zinazokuumiza na huoni dalili ya mabadiliko.Amua kukubali kuwa jambo hilo limeshindikana kisha endelee mbele.Huenda ni mahusiano yamefika mwisho kubali na anza safari mpya ya maisha, Pengine ni biashara ilikupa hasara kubali na anza upya
UJUMBEMihangaiko na shughuli zetu zote za leo tunaziweka mikononi mwako eeh! Bwana
SawasawaJifunze Kusema "SINA" Kwa Sababu Hao Unaotaka Kuwaonyesha Kua Una Kitu, Ndio hao hao hawapendi Kukuona na kitu
🙏🙏Mungu akiwa upande wako hakuna wakukukwamisha mtangulize Mungu kwenye kila jambo
Uko sawaKesho yako imebeba neema zako inuka , Mungu anaenda kukukutanisha na watu wa aina yako mtaendana mtatengeneza mipango yenye malengo ya hatima zenu