myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hili pia sawaKesho yako imebeba neema zako inuka , Mungu anaenda kukukutanisha na watu wa aina yako mtaendana mtatengeneza mipango yenye malengo ya hatima zenu
NakubaliMungu akiwa upande wako hakuna wakukukwamisha mtangulize Mungu kwenye kila jambo
✅️✅️Kuna siku utajipongeza kwa sababu hukukata tamaa
Usikate TamaaUsikate tamaa kwa sababu ya magumu unayopitia leo. Kila jaribio lina sababu, na kila maumivu yana kusudi. Mvua hainyeshi milele—baada ya dhoruba, jua litachomoza tena..
Kukomaa..Usikate tamaa kwa sababu ya magumu unayopitia leo. Kila jaribio lina sababu, na kila maumivu yana kusudi. Mvua hainyeshi milele—baada ya dhoruba, jua litachomoza tena..
✔️✔️✔️Kuna siku utajipongeza kwa sababu hukukata tamaa
✅️✅️Kuna siku utajipongeza kwa sababu hukukata tamaa
Kupanga ratibaRatiba yako ya siku iyanze na sala kuomba yalio Mema kwako katika siku mpya na kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki pamoja na kushukuru neema utakayobarikiwa
✔️✔️✔️Maombi ya kila siku hufungua Ile minyororo baadhi iliofungwa na kufunguka Kwa baraka katika siku
Usiache kusali Kila unapojaliwa kuiyona siku mpya inabaraka na ulizi wa malaika
✅️✅️✅️Maombi ya kila siku hufungua Ile minyororo baadhi iliofungwa na kufunguka Kwa baraka katika siku
Usiache kusali Kila unapojaliwa kuiyona siku mpya inabaraka na ulizi wa malaika
Mtazamo chanyaMtazamo wa fikira ni kila kitu kwenye maisha yako hapa Ndio Tunapoamua ukomavu wako
UAMINIFUUaminifu ukipotea haurudi tena, ukiutafuta na kuupata unakuta tayari umeshabadilika na kuwa wasiwasi, jitahidi kuaminika pale unapoaminiwa”
Uaminifu muhimuUaminifu ukipotea haurudi tena, ukiutafuta na kuupata unakuta tayari umeshabadilika na kuwa wasiwasi, jitahidi kuaminika pale unapoaminiwa”