myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Afya na uzimaKuamka na uzima wa Afya ni jambo na kushukuru sana maana baadhi wapo mahospitalini na sisi wengine tumepewa neema ya uzima ili tuweze kwenda kutafuta riziki zetu za Kila siku jitahidi utunze Afya na neema anazo kuruzuku
📌📌📌Kuamka na uzima wa Afya ni jambo na kushukuru sana maana baadhi wapo mahospitalini na sisi wengine tumepewa neema ya uzima ili tuweze kwenda kutafuta riziki zetu za Kila siku jitahidi utunze Afya na neema anazo kuruzuku
Uko SawasawaKuamka na uzima wa Afya ni jambo na kushukuru sana maana baadhi wapo mahospitalini na sisi wengine tumepewa neema ya uzima ili tuweze kwenda kutafuta riziki zetu za Kila siku jitahidi utunze Afya na neema anazo kuruzuku
Mungu atupe afya na uzima 🤲 🙏Kuamka na uzima wa Afya ni jambo na kushukuru sana maana baadhi wapo mahospitalini na sisi wengine tumepewa neema ya uzima ili tuweze kwenda kutafuta riziki zetu za Kila siku jitahidi utunze Afya na neema anazo kuruzuku
Mambo ya Kenya 🇰🇪
Punguza majigambo safari yetu ni mojo tu na hujui nani atakusindikiza mwisho wa safari yako wema ni akiba tunza utalipwa bila kutegemea
MalengoNdoto iliyoandikwa inakua lengo.
Lengo lililogawanywa katika hatua huwa mpango.
Mpango unaoungwa mkono na hatua huwa ukweli
MPANGONdoto iliyoandikwa inakua lengo.
Lengo lililogawanywa katika hatua huwa mpango.
Mpango unaoungwa mkono na hatua huwa ukweli
Kweli kabisaJeneza ndio mlangoo pekee usioweza kufunguka tena hivyo tuendelee kusukuma milango mingine yotee mpaka ifungukee
MUHIMU SANA ELIMU..Elimu yetu inapima uwezo wa kukalili mawazo ya watu na sio utashi wa mwanafunzi.
✔️✔️Hata kwenye Kutafuta mafanikio Ili matokeo mazurii yatimie kwako ni inategemea na jinsi unavopambana
📌📌📌Unaweza kupoteza pesa zako, nguvu zako na baadhi ya watu ulionao Kila siku ila kitu Cha msingii ni usiupoteze muda wako kwa sababu ndicho kitu pekee ambacho hatuwezi Kuurudisha
👍👍👍Hata kwenye Kutafuta mafanikio Ili matokeo mazurii yatimie kwako ni inategemea na jinsi unavopambana
Elimu ni ufunguoElimu yetu inapima uwezo wa kukalili mawazo ya watu na sio utashi wa mwanafunzi.