Tunda la ROHO katika ladha ya UVUMILIVU, sio muujiza, au kipawa kinachokushukia kwa ghafla tu, uvumilivu ni darasa la mlolongo wa mambo yanayokuumiza moyo, vilio na uchungu wa kupona na kutoneshwa tena na tena. Asie zimia moyo mpaka mwisho anaitwa MVUMILIVU.