Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushindi uko katika sala! Wakati tunapomlilia Mungu kwa moyo wa imani, anasikia na kutenda. Sala inatufungulia milango ya baraka, kutufanya tuwe na nguvu za kushinda kila changamoto. Mungu anapokuwa na sisi, hakuna lisilowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…