myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaMapungufu yetu yanatupa sababu ya kujiongeza na uwezo wetu unatupa sababu ya kujiamini
✔️✔️Mtu anaweza kuzaliwa na nguvu, hata hivyo ni katika vita anathibitisha ujasiri wake.
Moyo unaweza kujazwa na imani, lakini ni katika mapambano ndipo unang'aa
Mtu anaweza kuzaliwa na nguvu, hata hivyo ni katika vita anathibitisha ujasiri wake.
Moyo unaweza kujazwa na imani, lakini ni katika mapambano ndipo unang'aa
✅️✅️✅️Kuyafahamu mapungufu yako ni njia rahisi ya kuyapokea mapungufu ya wengine
Unaweza kujielimisha ili kujiandaa kuzikabili changamoto za maisha au unaweza kusubiri changamoto za maisha zije kukuelimisha -zote ni njia za kujifunza ila zinatofautiana matokeo
Mtu anaweza kuzaliwa na nguvu, hata hivyo ni katika vita anathibitisha ujasiri wake.
Moyo unaweza kujazwa na imani, lakini ni katika mapambano ndipo unang'aa
Imani ni kuwa na Hakika na mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasio onekena, Imani kama chembe ya haradali yaweza fanya jambo kuinua milima na kuitupa baharini.
Imani ni nguvu inayotuvusha, hutupa matumaini, na hutufanya tuwe na shukrani. Endelea kupambana bila kukata tamaa
Imani ni nguvu inayotuvusha, hutupa matumaini, na hutufanya tuwe na shukrani. Endelea kupambana bila kukata tamaa
Tunda la ROHO katika ladha ya UVUMILIVU, sio muujiza, au kipawa kinachokushukia kwa ghafla tu, uvumilivu ni darasa la mlolongo wa mambo yanayokuumiza moyo, vilio na uchungu wa kupona na kutoneshwa tena na tena. Asie zimia moyo mpaka mwisho anaitwa MVUMILIVU.
SawaMaisha haya ukifika mahali ukajiona kukata tamaa kumekuingia, tafuta kuondoa hiyo hali haraka sana, iondoe kwa maombi na neno la Mungu. Wengine kupitia mafundisho ya neno na nyimbo za kusifu na kuabudu zinawasaidia kupata nguvu mpya
Maisha haya ukifika mahali ukajiona kukata tamaa kumekuingia, tafuta kuondoa hiyo hali haraka sana, iondoe kwa maombi na neno la Mungu. Wengine kupitia mafundisho ya neno na nyimbo za kusifu na kuabudu zinawasaidia kupata nguvu mpya
👍👍Maisha haya ukifika mahali ukajiona kukata tamaa kumekuingia, tafuta kuondoa hiyo hali haraka sana, iondoe kwa maombi na neno la Mungu. Wengine kupitia mafundisho ya neno na nyimbo za kusifu na kuabudu zinawasaidia kupata nguvu mpya