myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Imani ni kuwa na Hakika na mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasio onekena, Imani kama chembe ya haradali yaweza fanya jambo kuinua milima na kuitupa baharini.
Kuna nguvu katika uaminifu, mtu anapokupa ufanye kazi yake amekuamini, anakupa usimamie biashara yake amekuamini, chochote unachofanya chini ya mtu kinahitaji uaminifu, tamaa na vitu vidogo dogo visikufanye uvunje uaminifu,fanya kazi Kwa uaminifu utafika mbali

👍👍👍Imani sio kuamini kwamba Mungu atafanya unachokitaka. Imani ni kuamini kwamba Mungu atafanya kilicho sahihi" ~ Max Lucado
📌📌📌Imani sio kuamini kwamba Mungu atafanya unachokitaka. Imani ni kuamini kwamba Mungu atafanya kilicho sahihi" ~ Max Lucado
Imani huinua kilichodhaifu kuwa na nguvu, Imani hufungua chemchemi ya baraka na neema, Imani ni siri ya uzima na mafanikio. Imani ni mlango wa matumaini. Si magonjwa, si dhiki, si umaskini si dhoruba nyingine za maisha zitakutisha ukiwa na imani
Kweli 🙏🙏Imani huinua kilichodhaifu kuwa na nguvu, Imani hufungua chemchemi ya baraka na neema, Imani ni siri ya uzima na mafanikio. Imani ni mlango wa matumaini. Si magonjwa, si dhiki, si umaskini si dhoruba nyingine za maisha zitakutisha ukiwa na imani
Hata ukiona kila kitu kinakwenda kombo, Jua; hiyo ni sehemu ya mchakato. Kila kukwama ni fursa ya kugundua nguvu zako za ndani.
Hata kama dunia inaonekana kukuzunguka kwa kasi, pumua kwa kina na kumbuka kwamba una nguvu ya kubadilisha mwelekeo wako. Kuwa na imani na safari yako.

📌📌Imani huinua kilichodhaifu kuwa na nguvu, Imani hufungua chemchemi ya baraka na neema, Imani ni siri ya uzima na mafanikio. Imani ni mlango wa matumaini. Si magonjwa, si dhiki, si umaskini si dhoruba nyingine za maisha zitakutisha ukiwa na imani
Siri ya kupata unacho kitaka ni kuvumilia unayo pitia. Imani haifanyi mambo kua rahisi bali kuwezekana.
✔️✔️Siri ya kupata unacho kitaka ni kuvumilia unayo pitia. Imani haifanyi mambo kua rahisi bali kuwezekana.
✅️✅️Vijana wapambanaji, kila siku ni fursa mpya ya kufikia malengo yako. Usikate tamaa, changamoto zinazokuja ni sehemu ya safari yako ya mafanikio. Anza wiki hii kwa nguvu, jitihada, na imani. Kila hatua unayochukua inakupeleka karibu na ndoto zako. Endelea kupambana, wewe ni shujaa

👍👍Mwamvuli hauzuii mvua isinyeshe bali hutunza kichwa chako kisiloweshwe. Imani yako katika Mungu inaweza isizuie matatizo kutokea ila itafanya roho yako kuwa salama katikati ya matatizo.
Aina nyingine ya adhabu usioitegemea ni pala unapoaminiwa na mtu aliekuamini ukaamua kumdharau na kutofanya aliokuagiza gharama yake ni kubwa katika Kumrudisha tena Ili aweze kukuamini Kwa mara ya pili
SawaAina nyingine ya adhabu usioitegemea ni pala unapoaminiwa na mtu aliekuamini ukaamua kumdharau na kutofanya aliokuagiza gharama yake ni kubwa katika Kumrudisha tena Ili aweze kukuamini Kwa mara ya pili