myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawasawaMwamvuli hauzuii mvua isinyeshe bali hutunza kichwa chako kisiloweshwe. Imani yako katika Mungu inaweza isizuie matatizo kutokea ila itafanya roho yako kuwa salama katikati ya matatizo.
Unaweza ukafanya kila uwezalo na bado unayo yatamani yasitimie,IMANI ndio itakupa nguvu ya kuendeleaa kujaribu tena na tena
Usiuogope kuanza upya ni nafasi yako ya kuunda kile ulicho kipoteza mwanzo.
Kweli kabisaKuna nguvu kubwa sana kwenye kuwa na Imani na kile unachokifanya , Imani inakufanya uwe na nguvu zaidi ya kupambana na kufikia malengo yako
SawasawaNguvu ya kweli ya shujaa inapatikana katika kuishi kwa kusudi kubwa kuliko nafsi yako.
Ubinafsi ni alama ya woga, lakini tangu mwanzo, watu wa imani na heshima wamejitolea tamaa zao wenyewe kwa ajili ya wito mkuu wa Mungu.
NakubalianaUnataka kujenga funga mdomo
Unataka kuoa funga mdomo
Umepata kazi funga mdomo
Umepandishwa cheo funga mdomo
Unataka kusafiri funga mdomo
Unataka kununua gari funga mdomo
Acha matokeo yaongee Yenyewe
Kweli kabisaNguvu ya kweli ya shujaa inapatikana katika kuishi kwa kusudi kubwa kuliko nafsi yako.
Ubinafsi ni alama ya woga, lakini tangu mwanzo, watu wa imani na heshima wamejitolea tamaa zao wenyewe kwa ajili ya wito mkuu wa Mungu.
Mdomo unaponzaUnataka kujenga funga mdomo
Unataka kuoa funga mdomo
Umepata kazi funga mdomo
Umepandishwa cheo funga mdomo
Unataka kusafiri funga mdomo
Unataka kununua gari funga mdomo
Acha matokeo yaongee Yenyewe
Huzuiliwi .chukua tu..Nipeni likes na mie
Kuna nguvu kubwa sana kwenye kuwa na Imani na kile unachokifanya , Imani inakufanya uwe na nguvu zaidi ya kupambana na kufikia malengo yako
✔️✔️1 Petro 1:5
Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho
SawaMaishani, Jaribu kutochunguza au kutofuatilia maisha ya mtu wa karibu nawe, wala kusikiliza watu wanachosema kukuhusu nyuma ya mgongo wako. Vinginevyo, utajikuta unachukia kwa nguvu nyuso zinazonekana kuwa za dhati lakini ni za kinafiki, na unaweza kupoteza imani kwa kila kitu
✅️✅️✅️Siri Ya Kupata Unachokitaka Ni Kuvumilia Unayopitia,IMANI Haifanyi Mambo Kuwa Rahisi Bali KUWEZEKANA.
Nguvu ya kustahimili majaribu, ndio nguvu inayo operate katika imani ihamishayo milima.Ule ung'ang'anizi wa kukataa kukata tamaa ndio unaohitajika katika ushindi wa imani yako.Kule kukataa kutishwa na logic ya jambo unaloliona kwa macho na kuendelea kusimamia ukweli
✔️✔️1 Petro 1:5
Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho
📌📌📌Imani bila matendo ni kazi bure. Huna sababu hujaomba, na kufanya kazi kwa nguvu zote na kusubiri katika imani ni sehemu ya kuomba. Imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
✅️✅️✅️Imani ni kukiri ushindi hata kama unakaribia kushindwa,kuna nguvu ya ushindi kwenye ukiri unao ambatana na fikra chanya.
✔️✔️Imani haiombwi. Huwezi kuomba uaminike. Imani ni malipo unayopata kwa ulichowekeza.
Imani bila matendo ni kazi bure. Huna sababu hujaomba, na kufanya kazi kwa nguvu zote na kusubiri katika imani ni sehemu ya kuomba. Imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
📌📌Sikiliza sauti ya ndani inayokusukuma kuomba. Nguvu yako iko katika imani na uvumilivu wako. Hata katika mashaka, chagua maombi, kwani yatakuongoza