myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️✅️Believe(amini)Ndo Silaha pekee ya mafanikio Hakuna mtu aliye fanikiwa pasipo kuamini anachokifanya , amini kazi yako na utafanikiwa
📌📌Hakikisha kwenye maisha yako haujihusishi wala kuingilia mambo yasio kuhusu ili kulinda heshima na hadhi yako
👍👍Hakikisha kwenye maisha yako haujihusishi wala kuingilia mambo yasio kuhusu ili kulinda heshima na hadhi yako