Kuumia ni sehemu ya maisha, kakuumiza, kakupotezea muda, kakukimbizia wenye maana katika maisha yako, na pia anaendelea kukufuatilia, msamehe nenda zako watakuja wenye maana zaidi yake , maisha ni hatua , piga hatua nyingine , lakini usirudi nyuma, ipo siku atakukumbuka