Dunia imejaa kelele nyingi zinazo husu mafanikio ila ujue tu kuwa Mungu amempa kila mtu kipande chake katika hii dunia ambacho kimebeba riziki zako na mafanikio yako kelele za wengine zisikupe pressure ukahama kwenye kipande chako utapoteza riziki zako KAZA