myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaWaliofariki jana walikuwa na mipango ya asubuhi ya leo. Waliofariki asubuhi ya leo walikuwa na mipango ya usiku wa leo. Usichukulie maisha kwa urahisi kwa kupepesa macho kila kitu kinaweza kubadilika.
👍👍A smile is a light in the window of the soul indicating that the heart is at home.
📌📌Lazima ushinde kila kikwazo ili kufikia lengo.
SawaHaijalishi unaenda polepole kiasi gani mradi tu usisimame.
✔️✔️Dunia imejaa kelele nyingi zinazo husu mafanikio ila ujue tu kuwa Mungu amempa kila mtu kipande chake katika hii dunia ambacho kimebeba riziki zako na mafanikio yako kelele za wengine zisikupe pressure ukahama kwenye kipande chako utapoteza riziki zako KAZA
📌📌Dunia imejaa kelele nyingi zinazo husu mafanikio ila ujue tu kuwa Mungu amempa kila mtu kipande chake katika hii dunia ambacho kimebeba riziki zako na mafanikio yako kelele za wengine zisikupe pressure ukahama kwenye kipande chako utapoteza riziki zako KAZA
INAWEZEKANA..