myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
..baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuru ✔️ ✔️Kwenye maisha kuna nguvu kubwa sana katika kushukuru baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuru Mshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuiona siku mpya Mungu akupe hitaji la moyo wako Mungu abariki vinywa vyote vinavyoshukuru
..kulaumu wengine ni dalili ya ukosefu ✔️ ✔️Mtu yeyote anayependa kulaumu wengine ana safari ndefu sana. Maana kulaumu wengine ni dalili ya ukosefu wa kujitegemea na kujitambua.
NAKUBALI..Maumivu ya moyo yanaweza pona ila kovu litadumu kovu litakusaidia kukumbuka kuishi na watu kwa tahadhari
Maisha ni safari ndefu, halina ubishi...Maisha ni safari ndefu, ila WATU WENGI hukata tamaa kabla ya kufika mwisho wa safari... usiwe kama WATU WENGI.
🙏 🙏Kila mtu akitulia bila papara ataona jinsi ambavyo Mungu anatenda kwenye maisha yake bila kujali dini yake.. Atauona ukuu wake usio na Dini, kabila au tabaka
👍👍Maisha ni safari ndefu, ila WATU WENGI hukata tamaa kabla ya kufika mwisho wa safari... usiwe kama WATU WENGI.
🙏 🙏Huo muda unaotumia kumchunguza mtu ambae hakusaidii wala hakupunguzii kitu ni bora utumie kumuomba Mungu akusamehe pale ulipo kosa
Nakubaliana na wewe..Dunia imejaa kelele nyingi zinazo husu mafanikio ila ujue tu kuwa Mungu amempa kila mtu kipande chake katika hii dunia ambacho kimebeba riziki zako na mafanikio yako kelele za wengine zisikupe pressure ukahama kwenye kipande chako utapoteza riziki zako KAZA