Watu hawa watatu ni hazina kubwa sana, usiwachukulie poa kamwe
1. Wale wanaosimama na wewe katika shida na raha.
2. Wale wanaokutaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa.
3. Wale wanaojali hisia zako na afya yako ya akili.
Waheshimu, wathamini, na waombee