myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Fanya ibada
Fanya ibada
Ishi maisha ya kawaida
Usiwe na matumizi makubwa zaidi ya unachokipata

Kuzingatia maisha yako na kuachana na mambo yasiyokuhusu
Pendelea kufanyia watu mambo ambayo ungependa kufanyiwa

Usijibu kama haujaulizwa, usiende kama haujaalikwa na usilazimishe kujua ulichofichwa
Usiruhusu watu wakujue sana watakudharau au watakushambulia
Usijibu kama haujaulizwa, usiende kama haujaalikwa na usilazimishe kujua ulichofichwa
✔️✔️✔️Usiruhusu watu wakujue sana watakudharau au watakushambulia
Kuwa mtu wa kushukuru kwa kila kitu